Ezekiel 44:22

22 aWasioe wanawake wajane wala walioachika, inawapasa kuoa wanawake bikira wenye heshima wa Israeli au wajane wa makuhani.
Copyright information for SwhKC